MAELEZO YA KOZI

Kozi hii  inagawanyika katika sura tisa zitakazomwezesha  mwanafunzi kuelewa vyema na kumudu stadi zote za lugha ambazo ni :

§  Kuzungumza, kusikiliza, kusoma kuandika.

§  Kueleza asili ya Kiswahili

§  Kueleza aina  za lugha na sifa zake.